faini za wachezaji barca ni noma


FOR BONGO MOVIES ONLY PRESS BELOW
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
LEAKED DUDDY PHOTOS OF AFRICAN TEENS CLCK BELOW

Michezo

Wachezaji wanne wa FC Barcelona wanaoongoza kwa kuchelewa mazoezini, hii ndio faini

Kocha wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Enrique ameweka utaratibu kwa wachezaji wa klabu hiyo kupigwa faini kama hawatakuwa na utamaduni wa kuheshimu muda, lengo la Enrique ni kuhakikisha kila mchezaji aweze kwenda na muda.
March 25 Gerrard Pique ndio ametajwa kuongoza kwa uchewaji zaidi ndani ya klabu hiyo akifutiwa na Neymar, Adriano na Arda Turan. Hiyo ndio list ya wachezaji wa klabu hiyo wanaoongoza kwa kuchelewa wakati wa mazoezi na mechi.
Bar
Wachezaji wa FC Barcelona huwa wanapigwa faini ya euro 200 ambazo ni zaidi ya shilingi laki nne za kitanzania kwa kosa la kuchelewa mazoezini, lakini hupigwa faini ya euro 400 ambazo ni zaidi ya shilingi laki nane za kitanzania, kama utachelewa wakati wa mechi.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa


0 comments: