kuna sababu nyingi sana zinazopelekea wasaniii wa kike wasiolewe, sababu kuu ya kwanza ni kukosekana kwa uaminifu, wanaume wengi wana hofu ya kutendwa.
lakini pia mavazi ya kujidharirisha, nikiwa na maana ya kuvaa nusu uchi, watu wasanii wengi hawavai kwa heshima matokeo yake hakuna mwanume mwenye akili anae weza kuoa mtu ambae anajidharirisha mwenyewe.
lakini pia kupenda maisha ya hali ya juu sana imekua ni sababu ya wanaume wengi kushindwa kuwaoa wanawake wa aina hii.
ukitaka kuolewa usiangali umaarufu wako. kuwa wife material
Read More »